Feb 21

Dkt. HUSSEIN ALI MWINYI RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA ZNCC Bw. ALI AMOUR

Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC) imefanikiwa kufanya mkutano wake mkuu wa 15 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip uwanja wa ndege Zanzibar. Mgeni rasmi Dkt. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akipokea zawadi maalum kutoka kwa mwenyekiti wa ZNCC ndugu Ali Amour kwa niaaba ya Bodi ya Wakurugenzi ya ZNCC