Jun 19, 2023

MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI

ZNCC ikitoa mafunzo kwa wajasiriamali zaidi ya 50 juu ya huduma zinazotolewa na Jumuiya ya Kitaifa ya Wafanyabiashara zikiwemo Barcode na Certificate of Origin. pamoja na ufafanuzi wa fursa za mikopo kutoka kwa taasisi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA).... https://youtube.com/watch?v=P77FWJZXGVI&feature=share8