ZNCC kwa niaba ya ZBS inakualika katika kikao cha pamoja na wafanyabiashara chenye lengo la kujenga uelewa wa Sharia ya Viwango na Kanuni zake, kitakachofanyika tarehe 28/03/2024, saa 3:00 asubuhi katika Ofisi Kuu za ZBS zilizopo Maruhubi, Zanzibar.
top of page
Have any questions? Feel free to contact us:
bottom of page
Comments